banner image

KUMBUKUMBU YA MAMA OMWANA THERESIA NYAMICHWO RUTAGERUKA

TAREHE 6 – FEBRUARI 2018, UMETIMIZA MIAKA 24 TANGU MWENYEZI MUNGU ALIPOKUTWAA TOKA HAPA DUNIANI.  PAMOJA NA KWAMBA KIMWILI HAUPO NASI, KIROHO TUNAKUKUMBUKA DAIMA.
TUNAADHIMISHA KUMBUKUMBU HII TUKIOMBA MWENYEZI MUNGU AWAKUTANISHE KWENYE RAHA YA MILELE NA MUME WAKO MPENDWA MWALIMU NOVATI RUTAGERUKA AMBAYE SIKU ZOTE ALIKUKUMBUKA KATIKA SALA ZAKE KABLA YA KUTWALIWA NA BWANA TAREHE 5 MEI 2010.
MNAKUMBUKWA DAIMA NA WATOTO WENU FROLIDA, ILLUMINATA, LIBERATA, DUNSTAN, JOYCE NA EDWIN PAMOJA NA WAKWE, WAJUKUU, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI.
IBADA YA MISA YA KUMBUKUMBU ITAADHIMISHWA JUMANNE TAREHE 6 - FEBRUARI - 2018 KATIKA KANISA LA MTAKATIFU MAURUS, KURASINI, DAR-ES-SALAAM SAA 12.30 ASUBUHI.
BWANA ALITOA, BWANA ALITWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE
KUMBUKUMBU YA MAMA OMWANA THERESIA NYAMICHWO RUTAGERUKA KUMBUKUMBU YA MAMA OMWANA THERESIA NYAMICHWO RUTAGERUKA Reviewed by SHEDrack Mtawa on 11:56 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.