RAIS MAGUFULI AONGOZA MAZISHI YA MWANASIASA MKONGWE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge Ngombale
Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akisali mara baada ya kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la
Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiweka mchanga kwenye Kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais
Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamini Wiliam Mkapa pamoja na Rais Mstaafu
wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuweka udogo
kwenye kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi
ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Wajukuu wa marehemu pamoja na wafiwa wengine wakiwa katika hali ya majonzi makaburini hapo.
Rais
Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamini Wiliam Mkapa akiweka shada la maua
katika kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi
ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na waombolezaji mara baada ya maziko ya marehemu Mzee Kingunge
Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
RAIS MAGUFULI AONGOZA MAZISHI YA MWANASIASA MKONGWE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM
Reviewed by SHEDrack Mtawa
on
9:50 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment