banner image

TANZIA: Bibi Teresia Peter Salonga Kweka

Constantin Peter Kweka wa Dodoma Area A, anatangaza kifo cha Mama yake Mpendwa Bibi Teresia Peter Salonga Kweka, kilichotokea Hospitali ya Rufaa Dodoma, tarehe 13-December-2017, mipango ya maziko inafanywa Area A Dodoma na Kijiji cha Marakuhi nalumu hai Kilimanjaro. Na maziko yatafanyika Jumanne ya tarehe 19-12-2017 Kijijini Marakuhi nalumu Hai  Kilimanjaro

Habari ziwafikie Watoto wote na Wajukuu wote Wamarehemu popote pale walipo, na Familia ya Sabinutsi Peter Kweka Ya Dodoma, Dar es Salaam, Mwanza, Arusha na Kilinjao,Pamoja  na ndugu  jamaa na marafiki popote pale walipo.
Convida Funeral Home Company Ltd Inatoa pole kwa Ndugu, Familia, Marafiki, Jirani na wote kwa Msiba huu Mkubwa wa kuondokewa na Mpendwa wetu Bibi Teresia Peter Salonga Kweka. Twamuombea kwa Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahala pema peponi Amina
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake liimidiwe
TANZIA: Bibi Teresia Peter Salonga Kweka TANZIA: Bibi Teresia Peter Salonga Kweka Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 3:59 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.