Bwana George Faustin Kiwia wa Mabibo External, anatangaza kifo cha mke wa wake Bibi Immaculate George kiwia, kilichotokea Hospitali ya Ocean Road, tarehe 14-December-2017, mipango ya mazishi inafanywa Mabibo External(Shungashunga), saa kumi jioni.
Habari
ziwafikie Ukoo wote wa Kiwia, Mbando,Limoi na Kisanga,Pamoja na ndugu jamaa na marafiki popote pale
walipo.
Convida Funeral Home Company Ltd Inatoa pole kwa Ndugu, Familia,
Marafiki, Jirani na wote kwa Msiba huu Mkubwa wa kuondokewa na Mpendwa wetu Immaculate George Kiwia. Twamuombea kwa Mwenyezi Mungu aipumzishe
roho yake mahala pema peponi Amina
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake liimidiwe
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake liimidiwe
Tanzia: Taarifa za Msiba wa Bi. Immaculate George Kiwia
Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED
on
3:14 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment