banner image

TANZIA: VIOLET CHRISTIAN MZINDAKAYA AMEFARIKI DUNIA

Violet Mzindakaya a.k.a Sister V
Violet Mzindakaya  Enzi za uhai wake akiteta jambo na Rais mstaafu wa awamu ya nne Mh. Dk. Jakaya Kikwete
Mwili wa mpendwa wetu Violet Mzindakaya (Sister V), utaaga siku ya kesho saa mbili asubuh, mwanayamala Hospital kabla ya kusafirishwa kulekea Mkoani Rukwa kwa taratibu za mazishi

Convida inatoa pole kwa wote walioguswa na msiba huu, Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina lake liimidiwe. Amen
TANZIA: VIOLET CHRISTIAN MZINDAKAYA AMEFARIKI DUNIA TANZIA: VIOLET CHRISTIAN MZINDAKAYA AMEFARIKI DUNIA Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 6:04 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.