banner image

Kumbukumbu ya Mwaka 1 tangu kifo cha Bondia Thomas Mashali

Name: THOMAS CHRISTOPHER MASHALI
Birth: 12-JULY- 1980
Death: 31-OCT- 2016 
ALIKUWA BINGWA WA DUNIA ANAYETAMBULIWA NA UNIVERSAL BOXING ORGANISATION (UBO),
NIMTOTO WA TANO KATI YA WATOTO 7 WA MZEE CHRISTOPHER MASHALI NA  MKEWE MAREHEMU ROSE EMMANUEL KISALIO

Bondia maarufu wa ngumi nchini, Thomas Mashali Alifariki dunia usiku wa kuamkia Tar 31,maeneo ya Kimara jijini Dar es salaam.
Kifo cha bondia huyo kinadaiwa kuwa kilisababishwa na kipigo alichoikipata kutoka kwa wananchi kwa madai ya kuitwa mwizi.
Kumbukumbu ya Mwaka 1 tangu kifo cha Bondia Thomas Mashali Kumbukumbu ya Mwaka 1 tangu kifo cha Bondia Thomas Mashali Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 5:40 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.