banner image

PROF. SATA ANGOZA MAMIA YA WATU KWENYE MAZISHI YA PROF. JOSHUA DORIYE

Mtoto wa Prof. Doriye akiongoza wanataaluma (kutoka nyumbani kuelekea kanisani)
Wanataaluma kutoka Chuo Cha IFM wakiwa wamebeba Mwili wa Prof. Doriye


Gari maalumu lilobeba mwili wa mpendwa wetu Prof. Doriye kuelekea kanisani

Wanataaluma  wakijipanga kuushusha mwili wa mpendwa Prof. Doriye kuuingiza kanisani kwa ibada ya mwisho




Prof. Sata (Mkuu wa Chuo cha IFM) Akiongoza wanataaluma wa chuo hicho pamoja na ndugu na jamaa waliojitokeza Kumuaga mpendwa wetu Prof. Doriye

HISTORIA (WASIFU WA) YA MPENDWA PROF. JOSHUA DORIYE
 
PROF. SATA ANGOZA MAMIA YA WATU KWENYE MAZISHI YA PROF. JOSHUA DORIYE PROF. SATA ANGOZA MAMIA YA WATU KWENYE MAZISHI YA PROF. JOSHUA DORIYE Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 6:57 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.