banner image

KISOMO CHA MAMA YAKE MSELEM BI. MWAWANU KHAMIS DMV

Mwenye Kanzu ni Mselem akiwa kwenye kisomo cha mama yake Bi. Mwawanu Khamis kilichofanyika siku ya Jumamosi April 15, 2017 Silver Spring, Maryland na kuhudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki.

Mselemu mwenye kanzu (aliyesimama) akitoa neno la shukurani kwa marafiki, ndugu na jamaa waliofika kwenye kisomo cha mama yake Bi. Mwawanu Khamis kilichofanyika siku ya Jumamosi April 15, 2017 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.






Ndugu, marafika na jamaa wa Mselem wakijumuika pamoja kwenye kisomo cha mama yake Bi. Mwawanu Khamisi kilichofanyika siku ya Jumamosi April 15, 2017 Silver Spring, Maryland nchini Marekani..



KISOMO CHA MAMA YAKE MSELEM BI. MWAWANU KHAMIS DMV KISOMO CHA MAMA YAKE MSELEM BI. MWAWANU KHAMIS DMV Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 9:24 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.