banner image

Ni mwaka mmoja sasa tangu kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi wa utumishi BOT, ndugu Amatus Liyumba

April 18 2016 zilitolewa taarifa za msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa utumishi wa Benki Kuu Tanzania (BOT) Amatus Liyumba,  Liyumba alifariki dunia  Hospitali ya Aga Khan kutokana na maradhi ya kisukari na shinikizo la damu ambayo yalikuwa yakimsumbua kwa muda mrefu mpaka dakika ya mwisho.
Ni mwaka mmoja sasa tangu kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi wa utumishi BOT, ndugu Amatus Liyumba Ni mwaka mmoja sasa tangu kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi wa utumishi BOT, ndugu Amatus Liyumba Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 5:13 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.