banner image

MSIBA DMV NA TANZANIA

Familia ya Bwana na Bibi Pius Mutalemwa wa Silverspring, Maryland wanasikitika kutangaza kifo cha Mama mzazi wa Pius Mutalemwa, Mama Oliva Rwegasira (Mrs. Jamila Fungameza) kilichotokea leo, December 15, 2016 huko Dar-es-Salaam, Tanzania. 
Mipango ya mazishi inaendelea na familia ya Mutalemwa inajiandaa na safari kwenda Tanzania kwa ajili ya mazishi.

Kwa wale ambao wangependa kutoa rambirambi na mkono wa pole taarifa zaidi zitatolewa pindi familia itakaporudi toka Tanzania. Ila kwa sasa katika kipindi hiki kigumu sana kwa familia mnaombwa kuwakumbuka katika sala na maombi.

Mungu amlaze mahali pema peponi Mama yetu mpendwa Oliva Jamila Rwegasira Fungameza. Amen!

Kwa taarifa zaidi, wasiliana na
Juster Mutalemwa  3014046529 

Tunatanguliza Shukrani.
 
 
Source: http://lukemusicfactory.blogspot.com/

MSIBA DMV NA TANZANIA MSIBA DMV NA TANZANIA Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 12:51 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.