banner image

KUMBUKUMBU

Mwl. Ruth Raphael Shempemba (Mamndolwa)
Leo 15-12-2016 ni miaka mitano kamili tangu ulipotutoka.Mama yetu mpendwa tunakukumbuka kila siku iendayo kwa Mungu. Tunamshukuru Mungu kwa miaka yote aliyotupa na wewe. Siyo rahisi hata kidogo kutengana na wewe ila mapenzi ya Bwana yatimizwe.
Unakumbukwa daima na mumeo,wanao,wajukuu,vitukuu na wote waliokuwa wanakufahamu.
Pumzika kwa Amani na Bwana hadi hapo tutakapoonana tena
KUMBUKUMBU KUMBUKUMBU Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 3:57 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.