Dr Amani Walid Kabourou |
Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Mjini, Mbunge wa bunge la Africa Mashariki na Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Kigoma Dr Amani Walid Kabourou amefariki dunia usiku wakuamkia leo Jumatano Machi 7,2018 katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kufuatia kusumbuliwa na mshtuko(Stroke).
TANZIA: ALIYEKUWA MBUNGE WA KIGOMA MJINI AFARIKI DUNIA
Reviewed by SHEDrack Mtawa
on
9:52 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment