Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Mjini, Mbunge wa bunge la Africa Mashariki na Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Kigoma Dr Amani Walid Kabourou amefariki dunia usiku wakuamkia leo Jumatano Machi 7,2018 katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kufuatia kusumbuliwa na mshtuko(Stroke).
RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA FAMILI YA DKT KABURU
Reviewed by SHEDrack Mtawa
on
1:59 PM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment