banner image

TANZIA: PATRICK MWILLONGO AFARIKI DUNIA

Mwanahabari Mwenzetu PATRICK MWILLONGO aliyekuwa amelazwa Hospitali ya Mloganzila Kibamba kwa matibabu amefariki dunia jioni hii.
Taarifa zaidi zitatolewa baadae.

Mwillongo alikuwa  mwandishi wa habari wakujitegemea awali alikuwa akiandikia gazeti la Mtanzania na Jambo leo Bagamoyo mkoani Pwani

Awali habari kuhusu kuugua kwake ilitolewa kupitia tovuti ya bmghabari
Bofya hapa kwa habari zaidi
TANZIA: PATRICK MWILLONGO AFARIKI DUNIA TANZIA: PATRICK MWILLONGO AFARIKI DUNIA Reviewed by SHEDrack Mtawa on 5:10 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.