banner image

NEVER TO BE FORGOTTEN CHINGA ONE (Jennifer Livigha)

Chinga One
Jennifer Livigha alikuwa mmiliki wa Blog ya www.chingaone.com alifariki  dunia tarehe kama ya leo (20/02/2017).
 
Jennifer Livigha (Chinga One) 
Ni mwaka mmoja sasa tangu mpendwa wetu 
Jennifer Livigha alipofikwa na umauti akiwa nyumbani kwake Kinyerezi jijini Dar es Salaam.
 

Jennifer Livigha (Chinga One) Atakumbukwa na wanafamilia wote wa TBN (Tanzania Bloggers Network), ndugu jamaa kote Tanzania na kwingineko
We will Deeply Miss Her.
NEVER TO BE FORGOTTEN CHINGA ONE (Jennifer Livigha) NEVER TO BE FORGOTTEN  CHINGA ONE (Jennifer Livigha) Reviewed by SHEDrack Mtawa on 9:30 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.