Famili ya bwana Manase Meita
wa Gongo la mboto, Dar es salaam
wanatangaza kifo cha binti yao mpendwa bini Neema Meita,
kilichokea Ujerumani akiwa masomoni tarehe 11-02-2018
Mipango ya mazishi inafanywa lamada Ilala, hii leo saa kumi na moja na nusu jioni.
Habari ziwafikie Ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.
Convida Funeral Home Company Ltd Inawapa pole kwa wote walioguswa pamoja na Familia, ndugu, jamaa, Marafiki, kwa Msiba huu Mkubwa wa kuondokewa na Mpendwa wetu NEEMA MEITA.Bwana alitoa, na Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe.

KWAHELI DADA NEEMA MEITA
Reviewed by SHEDrack Mtawa
on
11:41 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment