NDUGU YETU DEUSI KESSY AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI HUKO ARUSHA TANZANIA. KAMA DESTURI YETU KUPEANA POLE NI JAMBO MUHIMU.
ADDRESS YA MFIWA.
2706 SNOW BIRD TERR.#11
SLIVER SPRING MD 20906.
KWA MAWASILIANO ZAIDI .
DEUSI KESSY:2404063218.
WINNIE MAGANGA KESSY. 202 6214711
ERNEST KESSY(METRO TIRES) 202 413 5933.
BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
MSIBA DMV NA TANZANIA.
Reviewed by SHEDrack Mtawa
on
10:42 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment