INNOCENT SENENGULA WAPALILA |
Innocent Alizaliwa katika hospital ya mkoa wa Morogoro tarehe 20-Julai,1972. Yeye nimzaliwa wa kwanza kati ya watoto watatu katika familia ya Bwana Meinulf na Bibi Victoria Wapalila.
Innocent aliugua ghafla siku ya tarehe 11 Feb,2017 na kulazwa katika hospital ya St. James University - Leeds Uk kwaajili ya kupata matibabu. Jitihada mbalimbali zilifanywa na madaktari na wauguzi, kwa kumpatia matibabu ya kiwango cha juu, hata hivyo kwa mapenzi yake Mungu alimwita kwake tarehe 17 Februari 2017. Tuna imanina matumaini kuwa tutakutana na Innocent baada ya maisha yetu ya hapa duniani.
Innocent atakumbukwa sana na wapwa zake , wanafamilia wote. Hattutaweza kusahau kipindi cha Chrismass mwaka juzi, wakati alipokuja Tanzania kwa mapumziko. Wapwa zake wamekua wakisubiri kwa hamu kipindi kingine cha mapumziko yake , waweze kufurahi tena na mpendwa Mjomba Inno.
Atakumbukwa na marafiki na wanafunzi wenzake wa zamani kwa Ucheshi na ukarimu wake. Rafiki yake Dennis anamkumbuka kwa upole na utulivu wake. Rafiki yake Habibu Mponezya anmkumbuka kwa Busara na Mapendo yake.
Innocent atakumbukwa kwa namna ya pekee na wazazi wake wapendwa, Bwana meinulf,na Bio Victoria Wapalila.
Atakumbukwa kwa namna ya pekee na wadogo zake, Dada Mariaconsolata Wapalila na Honest Wapalila. Atakumbukwa na wanafamilia wote , ndugu jamaa na marafiki kote Tanzania Uingereza na Kwingineko. Bwana alito na Bwana Ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe

Gone But Not Forgotten INNOCENT WAPALILA
Reviewed by SHEDrack Mtawa
on
6:58 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment