GODFREY BONNY |
Godfrey Bonny (kulia) akibadilishana jezi na Bruno Batista wa Atletico Paranense ya Brazil baada ya mchezo wa kirafiki Januari 2011 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Kiungo
wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’
amefariki dunia alhamisi 17-02-2018 huko nyumbani kwao Mbeya.
Mchezaji huyo alikuwa amelazwa kwa muda mrefu hospitali ya Rungwe-Tukuyu Mbeya alikokuwa akipatiwa matibabu.
Wakati
akicheza soka, Bonny aliwahi kuvitumikia vilabu vya Tanzania Prisons na
Yanga kwa vipindi tofauti pamoja na timu ya taifa ya taifa ya Tanzania
‘Taifa Stars’.
Geoffrey Bonny (wa pili kulia waliosimama) akiwa kwenye kikosi cha Simrik SYC ya Nepal. Wa pili kushoto waliosimama ni mchezaji mwingine wa Tanzania, Pius Kisambale
NI MWAKA MMOJA SASA TANGU MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA NA TAIFA STARS, GODFREY BONNY AFARIKI DUNIA
Reviewed by SHEDrack Mtawa
on
1:00 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment