Familia ya Anthony Ndelia Chua wa Boko Dar es salaam, wanatangaza kifo cha mtoto wa mjomba wao Flora Deocratius Baltazai Mrai, Kilichotokea tarehe 29/01/2018 katika Hospitali Dk. Kairuki Dar es salaam.
Mipango ya mazishi inafanywa Mbezi Africana kwa Bwana Pascal Masawe leo saa kumi jioni, Mwili wa marehemu Utaagwa kesho (Alhamisi) saa tano asubuhi Hospital ya Lugalo. Na maziko yatafanyika Huru Moshi (Ijumaa).
Habari ziwafikie Baba yake Deocratius Baltazai Mrai popote alipo Singida, Babu yake Rafael Mrai wa Huru Morangi, Familia ya Dominick kimi wamajengo sanya juu Pamoja na Ndugu na jamaa popote pale walipo.
Convida Funeral Home Company Ltd Inawapa pole kwa wote walioguswa pamoja na Familia, ndugu, jamaa, Marafiki, kwa Msiba huu Mkubwa wa kuondokewa na Mpendwa wetu FLORA DEOCRATIUS BALTAZAI MRAI. Bwana alitoa, na Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe.

TANZIA:
Reviewed by SHEDrack Mtawa
on
1:13 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment