MWANAMKE ALIYEJENGA MISIKITI ZAIDI YA 300 AFRIKA, AFARIKI DUNIA ABU DHABI.
____________________________
Taifa la United Arab Emirates linaomboleza kifo cha Mama wa heshima katika Taifa hilo, Sheikha Hessa binti Muhammad Nahyan aliyefariki dunia mapema jana na kuzikwa jana hiyo hiyo mjini Abu Dhabi nchini humo.
Inaelezwa kuwa Mama huyo amejenga misikiti zaidi ya 300 barani Afrika, ukiwemo msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni jijini Dar es salaam, nchini Tanzania, na hakuwai kuiona 'live' misikiti hiyo bali kwa kupelekewa picha tu.
Tayari taifa hilo limetangaza siku 3 za maombolezo, huku bendera zake duniani kote zikipepea nusu mlingoti, huku ikishindwa kuelezwa mara moja umri wa mama huyo.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amen.

MWANAMKE ALIYEJENGA MISIKITI ZAIDI YA 300 AFRIKA, AFARIKI DUNIA ABU DHABI
Reviewed by www.habarika24.blogspots.com
on
9:12 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment