Mzee Josephat Msofe wa Shekilango bamaga, anatangaza kifo cha Mke wake mpendwa Angela Khadija Msofe Kilichotokea leo tarehe 20/01/2018 katika Hospitali Muhimbili Dar es salaam.
Mipango ya mazishi inafanyika Kwa Mzee Msofe Bamaga karibu na Hongela Bar. Habari ziwafikie Mtoto wa Marehemu Bob Msofe wa Dubai, Mtoto wa marehemu Mina wudyed wa Nairobi, wanaparokia Mwenge katoriki Dar es salaam Pamoja na Ndugu na jamaa popote pale walipo.

TANZIA
Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED
on
3:35 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment