banner image

MSIBA DMV/TANZANIA



Kaka yetu Mabelana Nyanda amefiwa na Baba yake mzazi mzee Nyanda. Msiba umetokea nyumbani Tanzania.

Nyanda alijitahidi sana kumuuguza Baba yake, alishamleta kwa matibabu hapa Marekani. Wanajumuiya kama ilivyo ada na desturi yetu kupeana mkono wa pole.

Tunaomba tumshike mkono kaka yetu katika kipindi hiki kizito cha majonzi.

Rambirambi:
Account ya Michael Nyanda
Bank of America
446035788508

Kuwasiliana na Nyanda: ‭+1 (682) 206-9062

Convida Funeral Home Company Ltd inatoa pole kwa Familia, ndugu, jamaa, na Marafiki,  Kwaondokewa mpendwa Baba.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe
MSIBA DMV/TANZANIA MSIBA DMV/TANZANIA Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 4:28 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.