Jeneza
lenye mwili wa Marehemu Mama Peras Ngombale Mwiru, Mke wa Mmoja waasisi
wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngomale Mwiru ukiwasili
nyumbani tayari kwa ibada maalum ya maombolezo, iliyofanyika jioni ya
leo.
Huzuni ilitawala pale mwili wa Marehemu ulipowali Nyumbani.
Ibada
ya kumuombea Marehemu Mama Peras Ngombale Mwiru, Mke wa Mmoja waasisi
wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngomale Mwiru ikiendelea
nyumbani.
Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete akimfariji Mzee Kingunge Ngomale Mwiru kwa
kufiwa na Mkewe, Mama Peras Ngombale Mwiru, alipofika Nyumbani kwale
Victoria, jijini Dar es salaam leo. Katikati ni Mzee Ally Mtopa.
Rais
Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe wakati walipokutana
kwenye Msiba wa Mama Peras Ngombale Mwiru, Mke
wa Mmoja waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngomale
Mwiru, nyumbani kwake Victoria, jijini Dar es salaam leo.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo akiwa ameambatana na viongozi
Wengine wa Chama hicho waliofika nyumbani wa Mzee Kingunge Ngomale Mwiru
kumfariji kwa kufiwa na Mkewe, Mama Peras Ngombale Mwiru.
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akimfariji Mzee Kingunge Ngomale Mwiru kwa kufiwa na Mkewe, Mama Peras Ngombale Mwiru, alipofika Nyumbani kwale Victoria, jijini Dar es salaam leo.
JK, VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI MZEE KINGUNGE NGOMALE MWIRU
Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED
on
11:03 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment