Assalaamu A'laykum Warahmatullahi Wabarakatuh.
Kwa niaba ya familia ya sister Samira
Lila (Mrs Mrisho Mzese), tunachukua fursa hii kuwafahamisha kuwa Siku ya
Jumamosi ya December 30, 2017, kutakuwa na kisomo cha kumrehemu mama
yake mzazi (Bi Salha Salum)
Kisomo kitaanza *4:00pm - 8:00pm* In Shaa Allah.
Address ni:
Little Bennet elementary school 23930 Burdette forest Rd Clarksburg MD 20871
In Shaa Allah tujumuike kwa pamoja kumfariji mwenzetu.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Samira Lilah: (240) 821-3931
Mganga: 202-374-0988
Jasmine Rubama: 410-371-9966
Tunatanguliza Shukrani.
TAARIFA YA KISOMO DMV
Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED
on
12:09 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment