­

Taarifa ya Msiba wa Bibi Petronira Joseph kirita Chua

banner image
Familia ya Boma la Siliamu Nasua Chua wa utaroni kibosho moshi, wanatangaza kifo cha mama yao mpendwa Bibi Petronira Joseph kirita Chua,  kilichotokea nyumbani kwao Kibosho tarehe 25-November-2017, maziko nyumbani kwake Utaroni Juu saa 9 Alasiri,  Leo tarehe 30-November-2017  Ibada ya maziko itafanyika Kigangwa cha utaloni,
Habari ziwafikie watoto wake Richard na Getrude popote walipo, wakwe wote wakijiji cha Uri, Dada na kaka wote wa Marehemu, Ukoo wote wa Chua, Mmbuo, na ukoo wote wa msee na Temba, pamoja ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo.
Taarifa ya Msiba wa Bibi Petronira Joseph kirita Chua Taarifa ya Msiba wa Bibi Petronira Joseph kirita Chua Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 2:47 PM Rating: 5

Post Comments

No comments:

Powered by Blogger.