Bwana Jackson Hamphrey Ndikia Makundi wa Dododma, anatangaza kifo cha mtoto wao mpendwa Hamphrey Jackson Makundi kilichotokea shuleni Scholastica Secondary, tarehe 6-November-2017, mziko yatafanyika jumamosi 2-December-2017 nyumbani kwao mamba kwa makundi Saa saba mchana.
Habari ziwafikie ukoo wote wa Makundi, Ukoo wote Mtei na Limo,Pamoja na ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo.
Habari ziwafikie ukoo wote wa Makundi, Ukoo wote Mtei na Limo,Pamoja na ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo.
Tanzia:Hamphrey Jackson Makundi afariki dunia
Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED
on
2:45 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment