banner image

TANZIA: Kitwana Kondo afariki dunia, kuzikwa Leo

Mwanasiasa Mkongwe na Meya wazamani wa jiji la Dar es salaam, KITWANA KONDO
Mwanasiasa mkongwe na meya wa zamani wa jiji la Dar es salaam, Amefariki dunia jana saa 10 jioni katika Hospital ya Hindu mandal alikokuwa akipatiwa matibabu

""Kazi ya Mungu haina makosa, ni kweli Baba amefariki na siwezi kuzungumza zaidi ya Hapo."" -Adnan Kondo(mtoto wa Marehemu)
Amesema mazishi yatafanyika kesho baada ya swala ya swala ya Alasiri.
TANZIA: Kitwana Kondo afariki dunia, kuzikwa Leo TANZIA: Kitwana Kondo afariki dunia, kuzikwa Leo Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 8:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.