| Rafiki wa Ndugu yetu Inno akiwa na mkewe kutoa Heshima za mwisho |
| Mr Edger pamoja na Mama Innocent |
| Wanakamati ya Mazishi ya mpendwa wetu Inno |
| Wanakamati ya mazishi ya ndugu yetu Inno |
| Kutoka Kushoto ni Baba Mr Meinulf, mdogo wake inno, Mariaconsolata, mama mzazi wa inno na mdogo wake wa mwisho Honest Wapalila. wakitoa heshima za mwisho |
| Mwili wa ndugu yetu ukielekea kanisani kwa misa |
| Safari yakutoka kanisani kuelekea Makaburini |
| Baba Padri akiweka shada la maua |
| Wazazi wa mpendwa Innocent wakiweka shada la maua |
| Wadogo zake na Inno wakiweka shada la ua |
| Uncle zake Innocent wakiweka shada |
UPDATES: MSIBA WA INNOCENT SENENGULA WAPALILA, SIKU YA MAZISHI
Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED
on
3:45 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment