banner image

MSIBA DMV NA TANZANIA

Familia ya Mnkande: Michael  pamoja na dada yake  Grace Mnkande, wanasikitika kutangaza msiba wa mpendwa mama yao Rose Mnkande, uliotokea hospitali ya rufaa Bombo mjini Tanga tarehe 9 Disemba 2016.
Ndugu wanapenda kuwajulisha kuwa msiba utakuwa nyumbani kwa baba yao mkubwa Mr. Vincent Hiza
Anuani: 8030 Patuxent, Landing loop, Laurel MD 20724.

"Bwana ametoa na bwana ametwaa. Jina la bwana lihimidiwe."

Kwa maelekezo na maelezo zaidi wasiliana na:
Jacqueline Mnkande 
301 755 3400
Leon Kalunga 240 264 7075
Florah Mnkande 240 217 6335


Source:http://lukemusicfactory.blogspot.com/

CONVIDA inatoa pole kwa ndugu na jamaa walioguswa na msiba wa kuondokewa na mpendwa dada yetu Grace Mankande, Mwenyezi Mungu ailaze roho ya mpendwa wetu mahali pema Peponi. Amen
MSIBA DMV NA TANZANIA MSIBA DMV NA TANZANIA Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 1:14 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.