banner image

Taarifa za Msiba wa Bw. Pantaleo Herman Mushi


Bwana Gilbert Pantaleo Herman Mushi, wa kibosho  kilima juu, antangaza kifo cha baba yake  Mzazi Pantaleo Herman Mushi kilichotokea Hospitali ya Taifa Muhimbili tarehe 28-November-2017, mipango ya mazishi inafanywa suwata Kariakoo saa Kumi jioni
Habari ziwafikie Joseph Peter Mushi wa Arusha, mjomba wa marehemu Blaseed Mushi wa kirima, Ukoo wote wa Mushi,Masawe na Marya, Pamoja  na ndugu  jamaa na marafiki popote pale walipo.
Taarifa za Msiba wa Bw. Pantaleo Herman Mushi Taarifa za Msiba wa Bw. Pantaleo Herman Mushi Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 3:03 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.