Bwana Godwin Huruma kessi wa Tabata, anatangaza kifo cha Baba yake mpendwa Bw. Huruma Godwin kessi kilichotokea Hospitali ya Muhimbili tarehe 29-November-2017, mipango ya mazishi inafanywa Riverside Bar Ubungo, saa kumi na moja jioni
Habari ziwafikie Famili yote Mali, familia
mena na familia yote ya Kessi, Pamoja na ndugu jamaa na marafiki
popote pale walipo.
Taarifa za Msiba wa Bw. Huruma Godwin kessi
Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED
on
3:02 PM
Rating:

No comments:
Post a Comment