Bwana Richard Francis Mosha wa Ubungo National Housing, anatangaza kifo cha kaka yake mpendwa Joseph Francis Mosha. Kilichotokea Hospital ya Taifa Muhimbili tarehe 27-November-2017, maziko yatafanyika Ijumaa 1-December-2017 Huru Kitandu Moshi.
Habari ziwafikie wajomba wa marehemu wa Ukoo wa Shio wa
Huru Ngawi, shemeji wa marehemu wa Ukoo wa Chua wa Huru kitandu na Ukoo
wote wa Mosha, Pamoja na ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo.
Taarifa ya msiba wa Joseph Francis Mosha.
Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED
on
3:00 PM
Rating:

No comments:
Post a Comment