Mzee Lawrance Manase Urio wa Marangu sembeti, anatangaza kifo cha Baba yake mpendwa Mzee Manase Imeti Urio kilichotokea Hospitali ya Marangu tarehe 27-November-2017, mipango ya mazishi inafanywa Lego hotel shikilango sinza saa kumi na moja jioni, na maziko yatafanyika jumamosi tarehe 2-December-2017 Marangu Sembeti.
Habari ziwafikie Ukoo
wote wa Imeti Urio, na ukoo wote wa Mchack wa Marangu, familia ya Mama
Irene wa Arusha, na wajukuu wa Marehemu wa Uingereza,Marekani, Zimbabwe
na India, Ukoo wote wa Manyanga na Mnawa wa Marangu, Pamoja na ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo.
Taarifa za Msiba wa Mzee Manase Imeti Urio
Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED
on
3:05 PM
Rating:

No comments:
Post a Comment