banner image

MSIBA DMV NA TANZANIA

Bwana *Richard Mawenya* na *Luis Mushi* wanasikitika kutangaza kifo cha Baba yao mzazi Mzee *Panthaleo Mushi* kilichotokea ghafla alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe *4 March 2018* huko Tanzania.


Kama ilivyo mila na desturi yetu kutoa pole kwa wafiwa, msiba utakuwa nyumbani kwa Richard address *9739 Country Meadows Ln, Apt 2D, Laurel MD 20723.*



Unaweza pia kutoa mkono wa pole kwa kupitia CashApp ya *Melissa Kritikos (240) 602-1506.*



Bwana ametoa, na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe. Amen.
MSIBA DMV NA TANZANIA MSIBA DMV NA TANZANIA Reviewed by SHEDrack Mtawa on 2:28 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.