PATRICK .J. MWILLONGO |
Jeneza lenye mwili wa kamanda Mwandishi mwenzetu likiwa mbele ktk ibada ya kuuaga mwili wake ambayo inafanyika muda huu nyumbani kwao Mbagala Kiburugwa ambapo mazishi yake yatafanyika leo saa 10 jioni makaburi ya Chang'ombe. Patrick Mwillongo enzi za uhai wake alikuwa akiandikia gazeti la Mtanzania na Jambo Leo Bagamoyo mkoani Pwani. Kapumzike kwa amani kamanda Mwillongo.
Update: Msiba wa Mwandishi PATRICK .J. MWILLONGO
Reviewed by SHEDrack Mtawa
on
2:20 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment