banner image

NI MIAKA MIWILI IMEPITA TANGU JOHN WALKER AFARIKI DUNIA

Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Michael Mhina “John Walker” alifariki dunia, Tarehe 16-02-2016. Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar e Salaam.

Walker ambaye alikuwa msanii wa kundi la Watukutu alikimbizwa hospitalini hapo mara baada ya kuangukiwa na mtungi wa gesi ambao ulimchoma kichwani wakati akitengeneza gari lake.


NI MIAKA MIWILI IMEPITA TANGU JOHN WALKER AFARIKI DUNIA NI MIAKA MIWILI IMEPITA TANGU JOHN WALKER AFARIKI DUNIA Reviewed by SHEDrack Mtawa on 9:09 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.