Born: January 1, 1985 (age 33), Uganda
Education: Makerere University
Albums: Tonjagala, Ngenda Maaso
Music group: Goodlyfe Crew (Since 2008)
Aliyekuwa mwanamziki maarufu nchini Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Mozey 'Radio' wakundi la RadioandWeasel la nchini uganda amefariki dunia asubuhi ya leo.
Radio alikuwa amelazwa hospital kwa takribani wiki mbili sasa.
Convida funeral home Inatoa pole kwa ndugu, jama na wapenzi wamuziki nchini uganda na Afrika mashariki kwa ujumla kwakuondokewa na kipenzi chetu Moses Sekibooga a.k.a Mozey 'Radio'.Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi.
Kwaheri Moses Sekibooga a.k.a Mozey 'Radio'
Reviewed by SHEDrack Mtawa
on
12:47 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment