kutoka Chuo cha Usafirishaji cha NIT ambapo Mwili wa Akwilina Akwilini Bafta unaagwa kwa ajili ya kueleka Mashati mkoani Kilimanjaro.
Convida funeral Service kwa masikitiko makubwa inatoa pole kwa familia,ndugu,wanafunzi wa NIT na wote walioguswa na msiba huu. BWANA alitoa na BWANA Ametwa. Jina la BWANA na libarikiwe
Ibada ya Kuuaga Mwili wa AKWILINA katika Chuo cha NIT
Reviewed by SHEDrack Mtawa
on
2:56 PM
Rating:

No comments:
Post a Comment