Familia
ya Bwana Paul Beda Moshi inasikitika kutangaza kifo cha Baba yao
mpendwa Paul Beda Moshi (Mkurugenzi wa Nuru Funeral Services),
kilichotokea siku ya Jumatano tarehe 3/1/2018.
Ibada
ya kuuga mwili wa marehemu itafanyika siku ya Jumapili tarehe 7/1/2018
nyumbani kwake Kawe Mlalakuwa karibu na viwanja vya Lugalo Golf Club
jijini Dar es Salaam, mazishi yatafanyija siku ya jumatatu ya tarehe
8/1/2018 nyumbani kwake Rombo Tarakea Mbomai.
Kwa mawasiliano zaidi na jinsi ya kufika piga +255714270410 na +255713775238
Convida Funeral Home Company Ltd Imepokea Kwamasikitiko Makubwa taarifa ya msiba wa Mzee wetu Paul Beda Moshi. Tunatoa pole kwa Familia, ndugu, jamaa, Marafiki, Na Wadau wote wa Sekta ya mazishi kwa Msiba huu Mkubwa Uliotupata kuondokewa na Mzee wetu Paul Beda Moshi. Twamuombea kwa Mwenyezi Mungu aipumzishe
roho yake mahala pema peponi Amina
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake liimidiwe
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake liimidiwe
TANZIA: MKURUGENZI MKUU WA NURU FUNERAL SERVICES PAUL BEDA MOSHI AFARIKI DUNIA
Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED
on
12:55 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment