banner image

Taarifa ya Msiba

Tanzia

Nyambona Massa
mba wa TBC,Dar es salaam.
 Anasikitika kutangaza kifo cha Baba yake Mzazi Poul Massamba Bukanda
 Kilichotokea Mbezi,Dar es salaam siku ya jumatatu tarehe 5 mwezi huu.
Mwili wa marehemu utaagwa leo Jumanne Saa kumi jioni (16:00pm) Mbezi, Dar es salaam.
Na utasafirishwa kwenda Musoma kwa maziko siku ya Alhamis tarehe 8 ya mwezii huu.
Habari ziwafikie Ukoo wote wa Bukanda popote walipo,Ukoo wote wa John Mgaya  Kibara ,
Ukoo wote wa massondole popote pale walipo, Ukoo wote wa Omary Juma Ngoma ,
pamoja ndugu na jamaa popote pale walipo

Convida funera Home Ina toa pole Kwa ndugu, Jamaa na wote walioguswa na msiba huu Mkubwa,wampendwa,baba,yetu  Poul Massamba Bukanda,
Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya mrehemu pahala pema peponi,
Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa, jina lake liimidiwe Amen
Taarifa ya Msiba Taarifa ya Msiba Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 10:43 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.