banner image

Tanzia: Mwalimu Fredericka Erasto Marick Amefariki

Mwenyekiti wa ukuhuma wa Dar es salaam, anatangaza kifo cha mke wa mwanachama mwenzake Mwalimu Fredericka Erasto Marick, kilichotokea Hospitali ya Jeshi Lugalo tarehe 26-November-2017, mipango ya mazishi inafanywa Riverside Bar Ubungo, nyumbani kwa marehemu sinza kwa remy na Moshi. Mwili wa marehemu utaagwa  Alhamisi saa saba mchana Kanisani KKKT sinza na Maziko ni ijumaa ya tarehe 1-dec-2017 Mwita msai mnyamvu.
Habari ziwafikie wanachama wote wa Ukuhuma na Ukoo wote wa mngase, materu, shao,marick na makiao Pamoja  na ndugu  jamaa na marafiki popote pale walipo.
Tanzia: Mwalimu Fredericka Erasto Marick Amefariki Tanzia: Mwalimu Fredericka Erasto Marick Amefariki Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 3:39 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.