banner image

TANZIA: ALIYEKUWA MUME WA IRENE UWOYA AFARIKI DUNIA (Hamad Ndikumana.)

Hamad Ndikumana
Staa wa filamu Bongo, Irene Uwoya, akiwa na aliyekuwa mume wake Hamad Ndikumana.   
ALIYEKUWA mume wa muigizaji wa filamu nchini, Irene Uwoya, mchezaji Hamad Ndikumana (39) kutoka nchini Rwanda amefariki usiku wa kuamkia jana, chanzo cha kifo chake kikisemekana ni matatizo ya moyo ambapo jana alikuwa akiendelea na kazi zake kama kawaida.

Mpaka anakutwa na umauti alikuwa akicheza katika timu ya APOP Kinyras Peyias FC ya Cyprus. Alizaliwa Oktoba 5, 1978 na mpaka anafariki dunia alikuwa ametengana na Uwoya kwa mingi na alikuwa ndiye mkewe waliyefunga naye ndoa katika Kanisa Katoliki na walibahatika kupata mtoto mmoja ambaye jina lake ni Krish. GPL
Ndikumana enzi za uhai wake akiwa mtoto wake

Staa wa filamu Bongo, Irene Uwoya, akiwa na aliyekuwa mume wake Ndikumana.






TANZIA: ALIYEKUWA MUME WA IRENE UWOYA AFARIKI DUNIA (Hamad Ndikumana.) TANZIA: ALIYEKUWA MUME WA IRENE UWOYA AFARIKI DUNIA (Hamad Ndikumana.) Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 1:40 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.