banner image

TAARIFA YA KISOMO DMV

Familia ya Ndugu zetu Khalid na Fadhil Londa inawataarifu kisomo cha Mama yao  mpendwa aliefariki na kuzikwa Tanzania wiki iliyopita.

Kitakachofanyika siku ya Jumamosi Oct 28th, 2017
Kuanzia saa Kumi na Mbili Jioni (6:00pm) hadi saa Tatu Usiku (9:00pm)

Norbeck-Muncaster Mill Neighborhood  Park


4101 Muncaster Mill Rd,
Norbeck , MD 20853.
Kama ilivyo ada yetu, tunaombwa tujumuike pamoja nao katika kufanikisha dua hii.


Kwa taarifa zaidi wasiliana na :-
Fadhil Londa 3015479835
Khalid Londa 2405659506
Iddi Sandali 3016135165
Danny Kaswanila 301 768 8947
Ali Mohammed 301 500 9762
Jasmine Rubama 410 371 9966
Inna Lillahi wa inna Ilayhi raajioun - Hakika sisi ni wa Mola, na Kwake ni marejeo (Quran 2:156)
Tunatanguliza Shukrani.
TAARIFA YA KISOMO DMV TAARIFA YA KISOMO DMV Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 10:39 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.