Ndugu zetu Fadhil, Khalid na Saleh Londa,
wanasikitika kuwajulisha msiba wa Mama yao uliotokea jana nyumbani Tanzania . Mazishi yalikuwa leo nyumbani Tanzania.
Kama ilivyo desturi yetu tujumuike kuwafariji na kutoa rambirambi zetu.
Address :
3906 Greencastle Dr Apt #102
Burtonsville, MD 20866
Kuwasiliana:
Khalid: 2405659506
Fadhil: 3015479835
Asanteni
MSIBA DMV NA TANZANIA
Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED
on
1:03 PM
Rating:

No comments:
Post a Comment