banner image

KWAHERI Cheick Ismaël Tioté ,UPUMZIKE KWA AMANI

Born: June 21, 1986, Yamoussoukro, Côte d’Ivoire
Died: June 5, 2017, Beijing, China

Add caption

Tiote alifariki dunia baada ya kuanguka akiwa mazoezini na klabu yake ya China ya Beijing Enterprises, ambapo watu waliokuja kutoa heshima zao za mwisho kwa kiungo huyo Jijini Beijing.

Papiss Cisse akitokwa na machozi katika misa ya kuuaga mwili wa Cheick Tiote

Wachezaji wa Beijing Enterprises wakitokwa na machozi wakiuuga mwili wa Tiote

Add caption

KWAHERI Cheick Ismaël Tioté ,UPUMZIKE KWA AMANI KWAHERI Cheick Ismaël Tioté ,UPUMZIKE KWA AMANI Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 6:30 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.