banner image

TANZIA:Christostom Rweyemamu maarufu kwa jina la Mwalimu ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo

Msiba
Tasnia ya Habari imepatwa na msiba mzito wa kuondokewa na mmoja wa magwiji wa habari Tanzania, Christostom Rweyemamu maarufu kwa jina la Mwalimu ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu katika
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Hadi mauti yanamfika. Mwalimu Christostom alikuwa ni Mhariri wa Mafunzo katika kampuni ya magazeti ya New Habari (2006) Ltd.
Huu kwetu ni msiba mzito sana.
Bwana alitoa, Bwana Ametwaa Jina lake Lihimidiwe.
Absalom Kibanda
Mhariri Mtendaji Mkuu
NHL (2006) Ltd
TANZIA:Christostom Rweyemamu maarufu kwa jina la Mwalimu ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo TANZIA:Christostom Rweyemamu maarufu kwa jina la Mwalimu ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 11:58 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.