banner image

TANZIA: Msanii Dogo Mfaume, Afariki Dunia

MSANII DOGO MFAUME ENZI ZA UHAI WAKE

Msanii wa Bongo Fleva, Mfaume Selemani ‘Dogo Mfaume’, aliyetamba zaidi na wimbo wake wa Kazi ya Dukani amefariki dunia leo.
Dogo Mfaume alikuwa Sober House (alikuwa akipata matibabu ya Matumizi ya Madawa ya Kulevya)
Mfaume alikuwa amepangiwa kufanya Operation ya Kichwa (ambapo alikuwa na Uvimbe) siku ya Ijumaa.


TANZIA: Msanii Dogo Mfaume, Afariki Dunia TANZIA: Msanii Dogo Mfaume, Afariki Dunia Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 6:30 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.