banner image

WAZIRI MKUU MAJALIWA AENDA NYUMBANI KWA Mpendwa wetu Sir. G. KAHAMA KUHANI MSIBA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na Mama Jannet Kahama, Mjane wa Mpendwa wetu , George Kahama wakati alipokwenda  kuhani msiba nyumbani kwake, Mikocheni jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. Wengine pichani ni wanafamilia.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifariji Mama Jannet Kahama, Mjane wa Mpendwa, George Kahama wakati alipokwenda  kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. Wengine pichani ni wanafamilia.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
ziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Joseph Kahama, mtoto wa marehemu George Kahama wakati  alipokwenda nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam  kutoa pole kwa familia Machi 17, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU MAJALIWA AENDA NYUMBANI KWA Mpendwa wetu Sir. G. KAHAMA KUHANI MSIBA WAZIRI MKUU MAJALIWA AENDA NYUMBANI KWA Mpendwa wetu Sir. G. KAHAMA KUHANI MSIBA Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 4:47 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.