banner image

TASWIRA YA KWENYE MISSA YA KUAGA MWILI WA MPENDWA WETU JULIE NYANGOMA

Watanzania wajitokeza kwa wingi kwenye Misa ya kuaga mwili wa Julie Nyagoma iliyofanyika huko McMahon's Funeral Home on Mamaroneck Avenue siku ya jumatatu. Hapa ni Jeneza na picha na pembeni ni picha ya marehemu.
Add caption
Padre Mushi akiongoza misa mbele ya waombolezaji
Mama wa marehemu Julie akiwa mbele ya jeneza la mtoto wake nyuma ya mama ni kaka wa marehemu.
Mama wa marehemu na mtoto wake ambae ni pacha wa marehemu wakiimba wimbo kwa majonzi makubwa.
Jeneza lililo na mwili wa marehemu likiwambele ya waombolezaji.
 
TASWIRA YA KWENYE MISSA YA KUAGA MWILI WA MPENDWA WETU JULIE NYANGOMA TASWIRA YA KWENYE MISSA YA KUAGA MWILI WA MPENDWA WETU JULIE NYANGOMA Reviewed by CONVIDA FUNERAL HOME COMPANY LIMITED on 6:47 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.